Tuesday, June 23, 2015

NYIMBO ASILI ZA LEJION MARIA

NYIMBO ASILI ZA LEJION MARIA
K: Kiongozi                        W: Wote
ROHO MTAKATIFU AMENENA (AKURU MALER, OA E POLO)
K: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Roho Mtakatifu Atangaza, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Atangaza, Bwana Yesu Amerudi.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Roho Mtakatifu Amesema, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amesema, Bwana Yesu Amerudi
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi.
K: Nyumbani kwa-Baru Twasikia, Roho Atangaza Ujumbe; Nyumbani kwa-Baru Twasikia, Roho Atangaza Ujumbe.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi.
K: Jioni kwa-Baru Twasikia, Roho Atangaza Ujumbe; Jioni kwa-Baru Twasikia, Roho Atangaza Ujumbe.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi.
K: Mlima Kalafare Twapanda, Tumwone Yesu Amerudi; Mlima Kalafare Twapanda, Tumwone Yesu Amerudi.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Jerusalem Amoyo Twaenda, Tumwone Yesu Amerudi; Jerusalem Amoyo Twaenda, Tumwone Yesu Amerudi.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Nzoia Efeso Twaenda, Tumwone Yesu Amerudi; Nzoia Efeso Twaenda, Tumwone Yesu Amerudi.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Josef Mtakatifu Akiongea, Asema Yesu amerudi; Josef Mtakatifu Akiongea, Asema Yesu amerudi.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Abraham Mtakatifu Akiongea, Asema Yesu amerudi; Abraham Mtakatifu Akiongea, Asema Yesu amerudi
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Agatha na Juliana Wakiongea, Wasema Yesu Amerudi; Agatha na Juliana Wakiongea, Wasema Yesu Amerudi.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Maria Mtakatifu Akiongea, Asema Yesu Amerudi; Maria Mtakatifu Akiongea, Asema Yesu Amerudi.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Simeo Melkio ndiye Yesu, Ambaye Wanasema; Simeo Melkio ndiye Yesu, Ambaye Wanasema.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Simeo Enure ndiye Yesu, Ambaye Wanasema; Simeo Enure ndiye Yesu, Ambaye Wanasema.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Simeo Laurida ndiye Yesu, Ambaye Wanasema; Simeo Laurida ndiye Yesu, Ambaye Wanasema.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Simeo Hosea ndiye Yesu, Ambaye Wanasema; Simeo Hosea ndiye Yesu, Ambaye Wanasema.
W: Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi; Roho Mtakatifu Amenena, Bwana Yesu Amerudi
K: Twakuomba Simeo Utusikie, Utuopoe Maovuni; Twakuomba Simeo Utusikie, Utuopoe Maovuni.
W: Twakuomba Simeo Utusikie, Utuopoe Maovuni; Twakuomba Simeo Utusikie, Utuopoe Maovuni.
K: Twakuomba Yesu Utusikie, Utuopoe Maovuni; Twakuomba Yesu Utusikie, Utuopoe Maovuni.
W: Twakuomba Yesu Utusikie, Utuopoe Maovuni; Twakuomba Yesu Utusikie, Utuopoe Maovuni.

SALAMU, SALAMU (OYAWORE, OYAWORE)
K: Salamu, Salamu; Salamu, Simeo Salamu.
W: Salamu, Salamu; Salamu, Simeo Salamu.
K: Salamu, Salamu; Salamu, Maria Salamu.
W: Salamu, Salamu; Salamu, Maria Salamu.
K: Salamu, Salamu; Salamu, Malaika Salamu.
W: Salamu, Salamu; Salamu, Malaika Salamu.
K: Salamu, Salamu; Salamu, Watakatifu Salamu.
W: Salamu, Salamu; Salamu, Watakatifu Salamu.
K: Salamu, Salamu; Salamu, Kiptoria Salamu.
W: Salamu, Salamu; Salamu, Kiptoria Salamu.
K: Salamu, Salamu; Salamu, Silita Salamu.
W: Salamu, Salamu; Salamu, Silita Salamu.
K: Salamu, Salamu; Salamu, Kiblongoria Salamu.
W: Salamu, Salamu; Salamu, Kiblongoria Salamu.

NYUMBANI KWETU YAONEKANA (DALA ANENO KA NENO)
K: Nyumbani kwetu yaonekana, Nyumbani kwetu yaonekana, Nyumbani kwetu yaonekana.
W: Nyumbani kwetu yaonekana, Nyumbani kwetu yaonekana, Nyumbani kwetu yaonekana.
K: Nyumbani kwetu mlimani, Nyumbani kwetu mlimani, Nyumbani kwetu mlimani
W: Nyumbani kwetu mlimani, Nyumbani kwetu mlimani, Nyumbani kwetu mlimani
K:  Mlima Kalafare Nyumbani, Mlima Kalafare Nyumbani, Mlima Kalafare Nyumbani
W: Mlima Kalafare Nyumbani, Mlima Kalafare Nyumbani, Mlima Kalafare Nyumbani
K: Jerusalem Amoyo Nyumbani, Jerusalem Amoyo Nyumbani, Jerusalem Amoyo Nyumbani
W: Jerusalem Amoyo Nyumbani, Jerusalem Amoyo Nyumbani, Jerusalem Amoyo Nyumbani
K: Nzoia Efeso Nyumbani, Nzoia Efeso Nyumbani, Nzoia Efeso Nyumbani
W: Nzoia Efeso Nyumbani, Nzoia Efeso Nyumbani, Nzoia Efeso Nyumbani
K:  Kengele Inalia mlimani, Kengele Inalia mlimani, Kengele Inalia mlimani
W: Kengele Inalia mlimani, Kengele Inalia mlimani, Kengele Inalia mlimani
K: Simeo Baba atuita; Simeo Baba atuita; Simeo Baba atuita
W: Simeo Baba atuita; Simeo Baba atuita; Simeo Baba atuita
K: Maria Mama atuita; Maria Mama atuita; Maria Mama atuita
W: Maria Mama atuita; Maria Mama atuita; Maria Mama atuita
K: Watakatifu watuongoze, Watakatifu watuongoze, Watakatifu watuongoze.
W: Watakatifu watuongoze, Watakatifu watuongoze, Watakatifu watuongoze
K: Malaika watuongoze, Malaika watuongoze, Malaika watuongoze.
W: Malaika watuongoze, Malaika watuongoze, Malaika watuongoze.
K: Meza ya Mama Nyumbani; Meza ya Mama Nyumbani; Meza ya Nyumbani.
W: Meza ya Mama Nyumbani; Meza ya Mama Nyumbani; Meza ya Nyumbani
K: Kanzu nyeupe Nyumbani; Kanzu nyeupe Nyumbani; Kanzu nyeupe Nyumbani
W: Kanzu nyeupe Nyumbani; Kanzu nyeupe Nyumbani; Kanzu nyeupe Nyumbani

AMINI, UINGIE (KISEYIE, NIDONJI)
K: Amini, Uingie; Amini, Uingie (W: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
W: Amini, Uingie; Amini, Uingie (K: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
K: Amini, Yesu; Amini, Uingie (W: Mbinguni); Amini Simeo; Amini Uingie.
W: Amini, Uingie; Amini, Uingie (K: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
K: Amini, Simeo; Amini, Uingie (W: Mbinguni); Amini Simeo; Amini Uingie.
W: Amini, Uingie; Amini, Uingie (K: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
K: Simeo ndiye hakimu; Simeo ndiye hakimu (W: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
W: Amini, Uingie; Amini, Uingie (K: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
K: Paradiso Uingie, Paradiso Uingie (W: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
W: Amini, Uingie; Amini, Uingie (K: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
K:  Taji lako upate, taji lako upate (W: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
W: Amini, Uingie; Amini, Uingie (K: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
K: Malaika wakuongoze, malaika wakuongoze (W: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
W: Amini, Uingie; Amini, Uingie (K: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
K: Watakatifu wakuongoze, Watakatifu wakuongoze (W: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
W: Amini, Uingie; Amini, Uingie (K: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
K: Maria Akukaribishe, Maria Akukaribishe (W: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.
W: Amini, Uingie; Amini, Uingie (K: Mbinguni); Amini Simeo, Amini Uingie.

YESU, KONDOO MTAKATIFU (YESU NYAROMBO MALER)
K: Yesu, Kondoo Mtakatifu
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Yesu, Kondoo Mtakatifu
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Ni Sadaka, aondoaye dhambi
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Damu yake, yaondoa dhambi
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Tazameni, Yesu Afufuka
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Tazameni, Yesu yu hai
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Na jueni, Yesu amerudi.
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Simeo Melkio, ndiye Yesu amerudi.
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Simeo Enure, ndiye Yesu amerudi
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Kalafare Suna, Yesu Amerudi.
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Jerusalem Amoyo, Yesu atufundisha.
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu
K: Nzoia Efeso, Yesu Atufundisha.
W: Yesu, Kondoo Mtakatifu

NI MAMA, MPENZI (OHEROWA WAN NYITHINDE)
K: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi
W: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi
K: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi
W: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi
K: Anatupenda, Wana-Lejion; Maria Mama, Anatupenda, Wana-Lejion
W: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi
K: Ni mjenzi, wa Kalafare; Maria Mama, Ni mjenzi, wa Kalafare
W: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi
K. Ametuita, Kalafare; Maria Mama, Ametuita, Kalafare
W: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi
K: Ametutoa kwa maovu; Maria Mama, Ametutoa kwa maovu
W: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi
K: Ni Bikira Mteule; Maria Mama, ni Bikira Mteule.
W: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi
K: Ni Mama wa Mungu; Maria Mama, ni Mama wa Mungu.
W: Ni Mama, Mpenzi; Maria Mama, ni Mama, Mpenzi

SALAMU, MARIA SALAMU (SALIVE, MARIA SALIVE)
K: Salamu, Maria Salamu (W: Mama); Salamu, Salamu, Salamu Maria.
W: Salamu, Maria Salamu (K: Mama); Salamu, Salamu, Salamu Maria
K: Tumwimbie, Maria Tumwimbie (W: Mama); Tumwimbie, Tumwimbie, Tumwimbie Maria
W: Salamu, Maria Salamu (K: Mama); Salamu, Salamu, Salamu Maria
K: Tumwinue, Maria Tumwinue (W: Mama); Tumwinue, Tumwinue, Tumwinue Maria.
W: Salamu, Maria Salamu (K: Mama); Salamu, Salamu, Salamu Maria
K: Apewe sifa, Maria Apewe sifa (W: Mama); Apewe sifa, Apewe sifa, Apewe sifa Maria.
W: Salamu, Maria Salamu (K: Mama); Salamu, Salamu, Salamu Maria
K: Ni Hawa, Maria ni Hawa (W: Mama); Ni Hawa, ni Hawa, Ni Hawa wa pili.
W: Salamu, Maria Salamu (K: Mama); Salamu, Salamu, Salamu Maria
K: Rejina, Maria Rejina (W: Mama); Rejina, Rejina, Rejina Maria.
W: Salamu, Maria Salamu (K: Mama); Salamu, Salamu, Salamu Maria
K: Utulinde, Maria Utulinde (W: Mama); Utulinde, Utulinde, Utulinde Maria.
W: Salamu, Maria Salamu (K: Mama); Salamu, Salamu, Salamu Maria
K: Mwelekezi, Maria Mwelekezi (W: Mama); Mwelekezi, Mwelekezi, Mwelekezi wetu.
W: Salamu, Maria Salamu (K: Mama); Salamu, Salamu, Salamu Maria

MARIA KUMBUKA (MARIA PINY LICHNWA)
K: Maria, Kumbuka (W: Eeh Maria); Kumbuka, Maria Rejina, Kumbuka.
W: Maria, Kumbuka (W: Eeh Maria); Kumbuka, Maria Rejina, Kumbuka.
K: Maria, Kumbuka (W: Eeh Maria); Kumbuka, Taabu Za Walejo, Kumbuka.
W: Maria, Kumbuka (K: Eeh Maria); Kumbuka, Taabu Za Walejo, Kumbuka
K: Maria, Kumbuka (W: Eeh Maria); Kumbuka, Simeo Akikamatwa, Kumbuka.
W: Maria, Kumbuka (K: Eeh Maria); Kumbuka, Simeo Akikamatwa, Kumbuka
K: Maria, Kumbuka (W: Eeh Maria), Kumbuka, Simeo Atiwa Pingu, Kumbuka.
W: Maria, Kumbuka (K: Eeh Maria), Kumbuka, Simeo Atiwa Pingu, Kumbuka
K: Maria, Kumbuka (W: Eeh Maria), Kumbuka, Simeo ndani ya Lori, Kumbuka.
W: Maria, Kumbuka (K: Eeh Maria), Kumbuka, Simeo ndani ya Lori, Kumbuka.
K:  Maria, Kumbuka (W: Eeh Maria); Kumbuka, Simeo Kizimbani, Kumbuka.
W: Maria, Kumbuka (K: Eeh Maria); Kumbuka, Simeo Kizimbani, Kumbuka.
K: Maria, Kumbuka (W: Eeh Maria); Kumbuka, Simeo Gerezani.
W: Maria, Kumbuka (K: Eeh Maria); Kumbuka, Simeo Gerezani.
K: Maria, Kaa Nasi (W: Eeh Maria); Kaa Nasi, Maria Rejina, Kaa Nasi.
W: Maria, Kaa Nasi (K: Eeh Maria); Kaa Nasi, Maria Rejina, Kaa Nasi.
K: Maria, Utulinde (W: Eeh Maria); Utulinde, Maria Rejina, Utulinde.
W: Maria, Utulinde (K: Eeh Maria); Utulinde, Maria Rejina, Utulinde.

BWANA AMERUDI, NI UKWELI (NYASAYE OBIRO, MALER)
K: Bwana Amerudi
W: Ni Ukweli
K: Kwa Ukweli, Bwana Yesu Amerudi
W: Ni Ukweli, Ni Ukweli
K: Masihi, Amerudi
W: Ni Ukweli
K: Simeo, Masihi Amerudi
W: Ni Ukweli, Ni Ukweli.
K: Mfalme, Amekuja
W: Ni Ukweli
K: Simeo, Mfalme Wa Mbinguni
W: Ni Ukweli, Ni Ukweli
K: Utukufu wa Mungu
W: Ni Ukweli
K: Simeo, Utukufu wa Mungu
W: Ni Ukweli, Ni Ukweli
K: Njia ya Mbinguni
W: Ni Ukweli
K: Melkio, Ni Njia ya Mbinguni
W: Ni Ukweli, Ni Ukweli
K: Hakimu Amekuja
W: Ni Ukweli
K: Simeo, Hakimu Amekuja
W: Ni Ukweli, Ni Ukweli

ROHO YANENA (MUYA KORO WUOYO)
K: Roho Yanena
W: Ujumbe
K: Yanena, Ujumbe wa Mungu Baba
W: Ni Ujumbe wa Uzima
K: Roho Yanena
W: Ujumbe
K: Yanena, Ujumbe wa Simeo
W: Ni Ujumbe wa Uzima
K: Roho Yanena
W: Ujumbe
K: Yanena, Ujumbe wa Maria
W: Ni Ujumbe wa Uzima
K: Abraham ana-andika
W: Ujumbe
K: Ana-andika, Ujumbe wa Mungu Baba
W: Ni Ujumbe wa Uzima
K: Gabrieli Ameleta
W: Ujumbe
K: Ameleta, Ujumbe wa Simeo
W: Ni Ujumbe wa Uzima.
K: Josef Ananena
W: Ujumbe
K: Ananena, Ujumbe wa Simeo
W: Ni Ujumbe wa Uzima.
K: Roho Yanena
W: Ujumbe
K: Yanena, Ujumbe wa Mungu Baba
W: Ni Ujumbe wa Uzima

LEJION LEJION (LEJO LEJO)
K: Lejion Lejion
W: Lejion enea
K: Lejion Lejion
W: Lejion Enea
K: Kundi la Simeo
W: Lejion enea
K: Kundi la Maria
W: Lejion Enea.
K: Enea kote Duniani
W: Lejion Enea
K: Enea Marekani
W: Lejion Enea
K: Enea kote Asia
W: Lejion Enea
K: Enea Kote Afrika
W: Lejion Enea
K: Enea kote Ulaya
W: Lejion Enea
K: Lejion tangaza injili
W: Lejion Enea
K: Injili ya Simeo
W: Lejion Enea
K: Lejion Tangaza Amani
W: Lejion Enea
K: Amani ya Mwokozi
W: Lejion Enea
K: Lejion tangaza upendo
W: Lejion Enea
K: Lejion hakuna kabila
W: Lejion Enea
K: Wote wana wa Mungu
W: Lejion Enea
K: Lejion Lejion
W: Lejion Enea

OMBEENI WANALEJO, MKIOMBA MTASIMAMA
K: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama
W: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama
K: Ombeeni Kila Siku, Mkiomba Mtasimama
W: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama
K: Ombeeni Kwa Rozari, Mkiomba Mtasimama
W: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama
K: Ombeeni Kwa Katena, Mkiomba Mtasimama
W: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama
K: Ombeeni Melkio, Mkimwomba Mtasimama.
W: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama
K: Ombeeni Maria Mama, Mkimwomba Mtasimama.
W: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama
K: Fanyeni Misa Kwingi, Mkifanya Mtasimama.
W: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama.
K: Kuweni na Imani, Kwa Imani Mtasimama.
W: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama
K: Kuweni na Amani, Kwa Amani Mtasimama.
W: Ombeeni Wanalejo, Mkiomba Mtasimama

BABA MWEMA, BABA SIMEO
K: Baba Mwema, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
W: Baba Mwema, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
K: Baba Mpenzi, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
W: Baba Mwema, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
K: Ewe Baba, Tupe Neema; Baba Simeo, Baba Mwema.
W: Baba Mwema, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
K: Ewe Baba, Tupe Afia; Baba Simeo, Baba Mwema.
W: Baba Mwema, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
K: Ewe Baba, Tupe Amani; Baba Simeo, Baba Mwema.
W: Baba Mwema, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
K: Ewe Baba, Tupe Baraka; Baba Simeo, Baba Mwema.
W: Baba Mwema, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
K: Ombi Letu, Ulisikie; Baba Simeo, Baba Mwema.
W: Baba Mwema, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
K: Utubariki, Baba Yetu; Baba Simeo; Baba Mwema.
W: Baba Mwema, Baba Mwema; Baba Simeo, Baba Mwema.
K: Uwafiche, Wana Wako; Baba Simeo, Baba Mwema.

Unaweza Pia Kusoma:

1.     LITANIA MAR SIMEO MELKIO

2.     THE TOP 20 ORIGINAL LEGIO MARIA SONGS IN ENGLISH

3.     MISA MTAKATIFU MAR LEGION MARIA: MISA MANYIEN

4.     LEGIO MARIA PROCESSIONAL PRAYER, MANDAMANO, IN LUO